Barua Pepe

customer@kifijo.co.tz

Tupigie

(+255) 762-417-904

Sisi ni KIFiJO

KIFiJO ni timu ya wataalam wa ICT inayotoa huduma mbalimbali za ICT kwa wajasiliamali wadogo na wa kati ambao hawana uwezo wa kumudu gharama za kuajiri wataalam wa IT. Baadhi ya huduma zetu ni zifuatazo:

Huduma ya Usimamizi na Uendeshaji wa Tovuti

Je unayo tovuti lakini umeshindwa gharama za kumwajiri mtu wa kuisimamia tovuti yako?Tupo kwa ajili yako.

Huduma ya Kuhuisha Taarifa kwenye Tovuti

Je una taarifa kwenye tovuti yako zilizopitwa na wakati na huna mtalaam wa kuzibadilisha?,Tupo kwa ajili yako.

Uandaaji wa Graphics Materials.

Tunatoa huduma ya kuandaa vipeperushi,vitambulisho,kadi za harusi,vitabu vya risiti,kutengeneza fomu mbalimbali na kuandaa majarida.

Utengenezaji wa Tuvuti

Je unahitaji kuwa na tovuti kwa ajili ya kukutangaza wewe binafsi au shughuli zako?

Na je unafahamu kwamba kuwa na tovuti yako binafsi au kwa ajili ya shughuli zako sio ghali sana kama wengi wanavyodhani?

Piga: 0762417904 kwa Ushauri.

Utengenezaji na Uendeshaji wa Peji rasmi za Mitandao ya Kijamii.

Je una peji ramsi ya Facebook au Instagramu ya kampuni yako,taasisi unayoingoza au ya kutangaza shughuli/biashara zako binafsi lakini huna mtaalam wa kuiendesha na kukutengenezea matangazo?Wasiliana nasi.

Ushauri wa Namna ya kutumia Mtandao Kuongeza Tija kwenye Biashara.

Tunafanya tathmini ya uwepo wa shughuli zako mtandaoni na kushauri njia ipi bora itumike kuleta wateja sahivi kwenye biashara yako kwa njia ya mtandao.

Umuhimu wa Tovuti kwenye Biashara.

Shughuli yoyote ya kibiashara iwe kubwa au ndogo inapaswa iwepo mtandaoni.Wateja wako wengi watatamani wanapotafuta biashara yako mtandaoni ionekane.Hivyo tumia tovuti au mitandao ya kijamii kutangaza shughuli zako.

Biashara Mtandao

Biashara mtandao ni mifumo/nyezo zinazotumika kuuza na kununua bidhaa mtandaoni bila kujali kikwanzo cha umbali.Tumia nyenzo hii kufanya biashara yako na kuongeza tija.Siku hizi unaweza nunua na kuuza chochote mtandaoni.Karibu KIFiJO tukushauri.

Huduma Zetu

Tunatoa huduma mbalimbali na ushauri wa mambo ya TEHAMA.Hapa chini ni orodha ya jumla ya huduma tunazotoa kwa sasa.

1. Usalama wa Tovuti

Website Security

Tunakagua tovuti yako kama inakidhi vigezo vyote vya usalama na kuichunga kila siku kuepuka kudukuliwa.


2. Uhifadhi wa Tovuti

REGULAR BACKUPS OF WEBSITE

Kuhakikisha mara kwa mara tunakuwa na nakala ya tovuti yako na kuitunza sehemu salama.


3. Takwimu za Tovuti

WEB STATISTICS

Kuandaa ripoti ya takwimu ya wateja wanaotembelea tovuti yako kila wiki,mwezi, mwaka,nchi na mikoa wanakotoka kwa ajili ya kufanya maamzi.

1. Kuondoa taarifa zilizopita Muda wake.

KEEPING YOUR WEBSITE UP-TO-DATE

Tovuti haipaswi kuwa na taarifa zilizoisha muda wake,Hivyo tunatoa huduma ya kuondoa taarifa za zamani na kuweka taarifa mpya na sahahihi.


2. Kubadilisha picha na Matangazo.

REMOVING OLD AND OUTDATE INFOR

Picha za matukio yaliyopita muda wake hazipaswi kuwa kwenye tovuti kwa muda mrefu.Tunatoa huduma ya kuondoa picha na habari za aina hiyo na kuweka mpya

3. Kukagua Viungo vya Kurasa

LINKS AUDITING

Peji za tovuti zinaunganishwa na viungo mbalimbali(links),hivyo ni muhimu kuhakikisha viungo hivyo vinafanya kazi na mteja akibofya kwenye kiungo,kimfikishe sehemu sahihi na si vinginevyo.

1. Tovuti Binafsi.

PERSONAL WEBSITES

Mtu yeyote anapaswa kuwa na tovuti ya kuonyesha shughuli zake,CV yake nk.Anaweza kuwa ni Kiongozi,Mwanataaluma,Mwanasiasa,Mfanya Biashara,Mhubiri,Mwanamitindo,Muimbaji au mtu yeyote maarufu.

Piga namba hii 0762417904 kwa ufafanuzi zaidi

2.Tovuti za taasisi,Kampuni,Miradi nk.

BUSSINESS WEBSITES

Tovuti za taasisi kama NGO,Vikundi,Kampuni,Miradi ya maendeleo,SACCOS nk.Tunatengeneza tovuti za aina hii pia kwa gharama nafuu na kutoa ushauri juu ya masuala ya tovuti.

Piga namba hii 0762417904 kwa maelezo zaidi


3. Tovuti za Biashara Mtandao.

E-COMMERCE WEBSITES

Tovuti za kuuza na kununua bidhaa mbalimbali kwa njia ya mtandao.Ongeza tija na mauzo ya biashara yako kwa kutumia technolojia hii.

Kwa ushauri na kutengenezewa tovuti za aina hii wasiliana nasi kwa namba hii: 0762417904



1. Kutengeneza Vipeperushi

Advertisement Materials

Tunatengeneza vipeperushi mbalimbali,bana,bronchuwa kwa ajili ya Matangazo ya social media.

2. Logo

BRANDING AND IDENTITY

Tunatengeza LOGO mbalimbali kwa ajili ya utambulisho wa shughuli zako.

3. Majarida

NEWS LETTER,REPORTS

Tunatoa huduma ya kuandaa majarida na kuandika manyo(Manuals) za mifumo,bidhaa nk.

1. Kuandaa dodoso Mtandaoni.

Google forms and ODK

Je una dodoso za utafiti na unataka ziwafikie wasahiliwa wengi zaidi kwa muda mfumi?Karibu tukuhudumie.

2. Kuingiza taarifa kwenye Programu za komputa

Data Entry Service

Kuingiza taarifa za tafiti zilizokusanywa kwa kutumia karatasi na kuziingiza kwenye programu za komputa kwa ajili ya uchambuzi.

3. Kuandaa Data

Data Cleaning Service

Huduma ya kuondoa data chafu kwa ajili ya uchambuzi wa data.

10

Kazi

10

Wateja

0

Tuzo

3

Wafanyakazi

Wateja Wetu

Kampuni yetu inafanya kazi na watu binafsi,Kampuni na Taasisi mbalimbali.Hizi ni baadhi ta taasisi na watu tunaofanya nao Kazi.

Je Umevutiwa na huduma zetu? Wasiliana nasi. Watalaam wetu wako tayari Kukuhudumia

Kikosi Kazi

Kama unahitaji watu weledi na waaminifu wa kufanya nao kazi.Sisi ni Chaguo lako.

SHUGHULI ZETU ZA KILA SIKU

Tovuti na mitandao ya kijamii inahitaji uangalizi na usimamizi wa kila siku ili ikuletee tija kwenye shughuli/Biashara yako,
Sisi Tunatoa huduma ya kusimamia na kuendesha tovuti na mitandao yako rasmi ya kijamii kwa gharama ndogo.

Orodha ya Shughuli zetu

Omba Huduma Zetu Hapa

Maswali Muhimu

Tuna mkataba wa mwezi,wa mwaka na wa malipo kwa huduma.Gharama zetu ni nafuu sana na zinategemeana na taarifa za mteja na ,Tupigie kwenye 0762417904 tukubaliane.
  • 1. Jina la Domain. eg www.kifijo.co.tz, www.kifijo.org, www. kifijo.com etc.
  • 2. Gharama za Ku-host tovuti yako,kati ya Tsh50,000 - Tsh100,000 kwa mwaka.
  • 3. Taarifa za kuweka kwenye tovuti yako.
  • 4. Mtu au kampuni kama ya kwetu ya kukusaidia kusimamia tovuti yako.

Gharama zetu za kutengeneza tovuti zinategemea mambo yafuatayo:

  • Aina ya tovuti.
  • Technolojia inayotumika.
  • Muda tovuti inayohitajika(Urgent?).
  • Ukubwa wa kazi kulingana na mahitaji ya tovuti.

Gharama zetu ni nafuu sana,wasiliana nasi tukusikilize halafu tukubaliane.

Kutoka kwa Wateja Wetu

Brands za Wateja Wetu